Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

George Mpole nimempunguza alama kufuatia mchezo wao uliopita..Alikuwa anabutua sana akifika eneo la 18 baada ya kuwa mtulivu.

Sijui alikumbwa na dhahama gani..!
Alikutana na bahasha ya Kaki akapendezwa nayo
 
We utakuwa na mahaba na Diara kwani hata yeye kuna game hawepo ndo nimempunguza alama

Lakini golikipa mzuri..!
kama kukosa mechi ni kigezo, chama ana game ngapi mzunguko wa kwanza?
 
Jitaidi kutulia ukiwa umevimbiwa. Sio lazima kupost
 
Kweli nimeamini leo matatizo yako ni kweli

Leo umeyathibitisha mwenyewe aseeh
Sina la kusema nimeshajua panapovuja hapo.
 
Hii ndio furaha pekee iliyo baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…