KIkosi changu cha Yanga baada ya kutazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja cha kwako na wewe mdau Yanga waingiaje dhidi ya Simba

Ni kuwa uliza tu Simba wangependa wacheze na kikosi kipi, Kilicho Anza Jana kipindi Cha kwanza au kilicho malizia kipindi Cha pili.
Kitendo Cha kutaka kupanga kikosi kwa kuchagua aina Fulani ya wachezaji ni kutaka kuua utani wa jadi.
Simba akipasuliwa Goli 8 uko mtaani watu wata tizamana vip? Mwishowe mtu mkiangaliana na macho yaki gongana atahisi una mcheka😃😃
Uko kazini watu watafanya vipi kazi!! Wata ishi na Maumivu makali sana ukifikiria na Manara yupo mzigoninkwa Sasa.
 
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja cha kwako na wewe mdau Yanga waingiaje dhidi ya Simba

JF siku hizi ina vijana hata wanachoandika hawajui
 
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja cha kwako na wewe mdau Yanga waingiaje dhidi ya Simba

Watu mnawaza agosti nane tu eti?

Mna raha sana.
 
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja cha kwako na wewe mdau Yanga waingiaje dhidi ya Simba

Naunga mkono hoja hiki makolo watakula za kutosha Cc ephen_
 
Back
Top Bottom