Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel.
Vikosi kama hivyo vimesambazwa kote Gaza lakini havijaweza kufanya lolote na imeripotiwa makamanda wake kadhaa wameuliwa na wanamgambo wa Hamas.
Tukio la karibuni ni hapo juzi jijini Gaza ambako Israel mara nyingi imetangaza ushindi na kujiondoa na baadae kurudi tena kama kwamba matangazo ya mwanzo yalikuwa uongo.
Katika tukio la juzi kikosi kama hicho kilisambaratika baada ya kiongozi wao kujeruhiwa vibaya na kulazimika kuokolewa. Kazi ya kikosi hicho cha kikomando ni kufanya kazi ya kuokoa na kukushanya taarifa muhimu kwenye maeneo ya mapigano.
Jeshi la IDF halikutoa maelezo zaidi juu ya jina na kiwango cha madhara kwa askari huyo yaliyolazimisha kusimamishwa kwa operesheni waliyokuwa wakiisimamia