johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inafaa ifike mahali hata asituhurumie ila atuangamize kwa upumbavu wetu/kukosa maarifa kwetu.Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Contebo Isabella ZZK is just a notorious opportunist!!?Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Hata hao wasilaumiwe kwani yeye hana washauri, wizara ya katiba na sheria kazi yake nini , mwanasheria mkuu kazi yake nini, sema walikubaliana na kikosi kutimiza yale waliojadili sirini, ila kusema tu kikosi kazi ndo kilijadili basi na kupitisha moja kwa moja ,sio hojaInasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Siku alipowateua na kumpa ripoti ya kwanza Kuna kauli aliwapa kuwa "huku ndo kujiajiri mwenyewe" baada ya kumwambia kuwa katiba mpya Haina haja kwa Sasa labda baada ya uchaguzi unao.Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Hao ni Yuda Iskarioti, wameisaliti haki kwa vipande vichache vya fedha. Karma lazima itawaandama na kuwa daima juu yao.Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Kama ni lile kundi la akina Zitto wale wote wana njaa hivyo huwezi tegemea la maana kutoka kwa akina mkandala na akina Zitto.Eti Zitto ambaye tumesema hapa mara nyingi kwamba ameacha kuwa na AKILI muda mrefu tu siku hizi hata anapowasilisha hoja huoni chochote chenye mashiko kama ilivyokuwa huko nyuma kwa kweli kijana anatia huruma sana.Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Kile ni kikosi cha wachumia tumboInasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!
Mukandala yule mhaya anajua kula pesa za serikali.Mweh. Hivi Mukandala ni mhaya kweli au mchaga yuleeeee?Alipiga pesa enzi za JK na ile kituo chake cha REDET kilichojaa wahaya.Inasemekana pendekezo la Kutoa Elimu ya Katiba mpya kwa wananchi kwa miaka 3 lilitolewa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Inadaiwa vyama Vya Siasa na NGOs ndio wamependemezwa kutengewa bajeti ya Kutoa Elimu ya Katiba mpya
Hii nchi hii Mungu atuhurumie!