Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

Kamati ya maprofesa wa jalalani hiyo ujinga mtupu
 
Kwanini katiba mpya iwe baada ya 2025?
Hata nami nataka kujua hilo. Hivi hayo michakacho na mengineyo yatajiondoa wenyewe baada ya uchaguzi? Katiba iliyopendekezwa 2014 ibaki isubiriwe kupigiwa kura ya wananchi mwaka 2025 ! Miaka 11 baada ya kupendekezwa? Kwa nini hasa?
 
Hiki ni kikosi kazi cha ssh anataka kubaki madarakani mpaka 2030 na ana hofu katiba mpya inaweza kumtibulia urafiki wake wa madaraka
 
Hata nami nataka kujua hilo. Hivi hayo michakacho na mengineyo yatajiondoa wenyewe baada ya uchaguzi? Katiba iliyopendekezwa 2014 ibaki isubiriwe kupigiwa kura ya wananchi mwaka 2025 ! Miaka 11 baada ya kupendekezwa? Kwa nini hasa?
Hao madalali wanataka kupiga pesa za kamati
 
Kuna vitu ukitulia na kufikiri kwa kina vinakatisha tamaa kabisa.

Mfano Mama kwa mamlaka aliyonayo aamuru mchakato wa katiba uanze mara moja au uendelee hivi hili bunge la Magufuli si ndio kisheria la kuidhinisha hiyo rasimu?

Wabunge wenyewe si ndio hawa kina Babu Tale na Covid 19?

Mimi nashauri tumuache mama tu afanye kazi tumeliwa, madhara ya Magufuli yataigharimu nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
 
Lazima kuwe na bunge maalum tofauti na hilo baraza kuu la CCM
 
HATUTAKI WABUNGE WALIOPO WAWE WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA TUNATAKA BUNGE MAALUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…