Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaja kuongeza mgogoro wa ziada,mafahari wawili awakai zizi moja ama gsm asepe Kabachori Manji akalie kiti.kukaa pamoja hawa mafahari wawili gsm na Kabachori haiwezekani.Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!!
Yani huko vioja haviishi.Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!! Hii ni aibu sana!! Ina maana bila Manji huko Yanga hamna kitu kabisa!!! Tafadhali utopolo!