Kikosi Simba SC kimejaza wachezaji wa kimataifa

Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!!
Kaja kuongeza mgogoro wa ziada,mafahari wawili awakai zizi moja ama gsm asepe Kabachori Manji akalie kiti.kukaa pamoja hawa mafahari wawili gsm na Kabachori haiwezekani.
 
Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!! Hii ni aibu sana!! Ina maana bila Manji huko Yanga hamna kitu kabisa!!! Tafadhali utopolo!
 
Utopolo wamechangamka kwa Manji kurudi bongo!! Hii ni aibu sana!! Ina maana bila Manji huko Yanga hamna kitu kabisa!!! Tafadhali utopolo!
Yani huko vioja haviishi.
Watani wanapata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…