Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,384
- 1,438
Usifananishe uongozi wa nchi na wa familia ya mke na mume. Ni kama kutaka mbingu na ardhi zikutane.Mleta mada acha utoto, natangukiza samahani, kama baba wa familia yako ni mara ngapi unafanya mambo ambayo mshauri wako ambae ni mkeo analazimika kufata japo amekushauri na bado ukafanya yako tu.at the end of the day huwezi kukubaliana na mtu 100% kwa kila kitu...kwa any intelligent mind, if given a 2nd chance to do something you will do it better ...haimaanishi unamponda alietangulia ila unakuwa umejifunza kutokana na experience na outcome ya maamuzi uliyoyafanya au ya aliekutangulia.
Hoja ziendelee.
#Ukinizingua......
Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji2957]Kutoka lumumba buku7 , mataga, sukumer gang mpaka team kulialia...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamoo bimkubwa nakusalimu katika jina la Jamhuri ya muunganiko
Huku mashuleni tunasubiri somo la uzalendo kama litakuwepo isijekuwa limemfuata mzalendo namba moja.Ukipanda mbegu ya dharau na wewe utadharauliwa tu, alifurahia sana kudharau watangulizi wake ngoja na yeye yamkute huko huko kaburini
Kutoka lumumba buku7 , mataga, sukumer gang mpaka team kulialia...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamoo bimkubwa nakusalimu katika jina la Jamhuri ya muunganiko
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Umeanza uchawi kabla hata ya 40 ya mzee.Kitu gn kilikuwa kinamfanya alie samia,nini kilikuwa kinamfanya ahuzunike na kuuliza?,samia alikuwa akicheka na kupiga vigeregere,mungu yupo,kama kuna kundi lilihusika kumwangamiza jpm,kwa machozi na majonzi ya watanzania,wengi...
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Unapofikiria hilo fikiria kwa nini pia marehemu hakushauri mtangulizi wake badala yake anakuja kumnanga baadaye. Mara nchi imechezewa kweli kweli nk. Alikuwemo kwenye baraza kwanini hakuyasema? Acha na yeye asemwe japo kidogo.Yaani wewe uko kichwani mwangu, nawaza iweje mtu alifanya nae kazi ila yote walofa nya wote leo hayafai.
Kwakweli mm ni kati ya watu walioumizwa na kifo cha jpm nimeumia saaaana.
Nikawaza dk zake za mwisho atakuwa aliumia sana maana alijua haya yote yatatokea.
Wiki ijayo naenda chato. Nikamlilie kwa mara ya mwisho.sikubahatika kwenda mazishini. Maana naona maumivu hayaishi.
Kikulachooooo.
Rip jpm.
Hilo sahau mkuu! Hiyo ndo ishatoka.Napendekeza kwanza mama atimize ile ndoto ya hayati ya kuifanya Chato kuwa kitovu cha utalii na si utitiri kama akina fulani wanavyotaka iwe
Jaribu kukumbuka!Tulikutana wapi tukiiba?
Legacy ya JPM ni mbaya sana kwa hio uko sawa haiwezi kufutika abadan!kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Jaribu kukumbuka!
Kuna giza mbele naye kaanza kutengeneza makundi hatari akidhani ni msafi......maneno na vitendo vinaashiria sehemu ya watu aliokuwa akifanya nao kazi kwa ukaribu akiwa na nyongo moyoni kisha kuanza kutumia mamlaka ya Urais kushughulika nao kana kwamba hakuwa sehemu ya mapungufu anayodai yalikuwepo ni kujipeleka mwenyewe kwenye mtego TASA.................2021 misuguano yote iliyokuwa ikishughulikiwa kimya kimya ndani ya serikali na chama chao itaibuka hadharani wakishambuliana wenyewe kwa wenyewe kisha kuthibitisha kwamba hata kifo cha hayati baadhi yao wamekichangia kukiharakisha ili malengo yao yatimie...............VISASI.......KUDHALILISHANA...........KUJIUZULU.........KUTISHIANA..........KUJIPENDEKEZA.....USALITI........UHARIFU KUONGEZA.........KULAUMU na KUTUHUMU wasiokuwepo kujitetea.Haki kwa wengi kupotea kupitia nguvu ya pesa..........SHUHUDIA yajayo yanaandika historia mbaya sana kwa Tanzania ambayo haijawahi kutokea wala kuwazia.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Pole sana. Hakuna giza kuna mwanga wa kutosha sana tu. Kama hauridhiki na utawala uliopo, hama nchi kimya kimya.Kuna giza mbele naye kaanza kutengeneza makundi hatari akidhani ni msafi......maneno na vitendo vinaashiria sehemu ya watu aliokuwa akifanya nao kazi kwa ukaribu akiwa na nyongo moyoni kisha kuanza kutumia mamlaka ya Urais kushughulika nao kana kwamba hakuwa sehemu ya mapungufu anayodai yalikuwepo ni kujipeleka mwenyewe kwenye mtego TASA.................2021 misuguano yote iliyokuwa ikishughulikiwa kimya kimya ndani ya serikali na chama chao itaibuka hadharani wakishambuliana wenyewe kwa wenyewe kisha kuthibitisha kwamba hata kifo cha hayati baadhi yao wamekichangia kukiharakisha ili malengo yao yatimie...............VISASI.......KUDHALILISHANA...........KUJIUZULU.........KUTISHIANA..........KUJIPENDEKEZA.....USALITI........UHARIFU KUONGEZA.........KULAUMU na KUTUHUMU wasiokuwepo kujitetea.Haki kwa wengi kupotea kupitia nguvu ya pesa..........SHUHUDIA yajayo yanaandika historia mbaya sana kwa Tanzania ambayo haijawahi kutokea wala kuwazia.
Familia ya hayati itavunja rasmi mahusiano na utawala wa sasa; kama hamuamini basi subiri kitakachojiri maana wanajionea namna mpendwa wao anavyoshambuliwa bila hata kutumia mafumbo.
Uchaguzi mpya waja kabla ya kipindi kuisha.
I can only predict doom for Tanzanians frankly.Sasa najua maneno ya "mwanzoni tulikuwa hatujamuelewa Magufuli,ila sasa tumemuelewa na tumefuzu," yalikuwa na maana gani.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Tuliza k we chawa wa rumumba najua saizi mnaumia sana mama sio mpenda masifa mama anasikiliza watz wanataka nini ndio maana unaona anakubalika mpaka kwa wapinzani we kama umekosa teuzi kajampe ulale saiz hakuna janja janja na kujuana kikanda na kikabila saizi mnapelekewa moto tu tulieni zipenye kunakoIkiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Nilimsiliza huyo mama kwa makini sana nikapata jibu huyu mama ndiye mnafiki namba moja wa hayati Magufuli, inakuwaje wewe ni kama mshauri wa rais unashirikiana naye kwa kila jambo na muda mwingine unampa ushauri wa nini kifanyike nini kisifanyike alafu leo hii anayahanika maovu ya mtangulizi wake, kweli siasa ni unafiki na fitina.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Huyo JPM mwenyewe alikuwa akiwaponda kina JK ilihali wangali bado wako hai.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.