Kikundi cha mkopo

karen elias

New Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu,wandugu,jamani nlikua naitaji mkopo nkaenda kufatilia kwenye taasisi za mikopo kama finca,nk ili iwe rahisi kupata mkopo n lazima uwe na kikundi kuanzia watu wa tano na kuendelea na muwe na biashara ndogondogo,natafuta hao watu watano tuweze kuunda kikundi,kwa mwenye uhitaji naomba anipm au anitafute kwa namba 0769934707
 
Mwanangu Karen, wewe unaishi wapi kwani?
 
sasa mkuu lengo ni kuunda biashara moja au lengo nikuchukua mkopo nakila mtu akafanye yake?
 
Don't try kuokota watu usio wajua. Mtakuja walipia watu mikopo yao. Group formation Zuri linajengwa na watu unaowafahamu vizuri hasa pia wale mnaohusia kijamii. Nimefanya kazi kwenye taasisi hizo I know majanga yake.
 
cjui ulifikilia nn hadi ukaleta huu uzi maana ningum mtu kukutana nakuunda kikundi alafu kila mtu kivyake kumbuka HUMU KUNA MATAPELI WENGI SO UTAJIKUTA UNAWALIPIA MKOPO.
 
UPO WAPI
I
 
YAANI HUKO TABATA NZIMA UNAISHI PEKE YAKO HADI UTAFUTE WASHIRIKA WA MKOPO JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…