Kikundi cha vijana (APC youth renaissance group) chaiomba Polisi kumkamata Peter Okoye

Kikundi cha vijana (APC youth renaissance group) chaiomba Polisi kumkamata Peter Okoye

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Kikundi cha vijana cha nchini Nigeria kinachoitwa APC youth renaissance group(haijathibitika kama kinahusika na chama tawala cha APC cha Nigeria) kimewahimiza Polisi kumkamata Peter Okoye "P-Square" baada ya kuwakoromea na kuwafumua viongozi wa serikali kwa kuwaita "mad and stupid".

Peter-Okoye-OnoBello-31.jpg

Peter Okoye wa Kundi la P-Square

Hii ni baada ya serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na muziki kushuti kazi zao nje ya Nigeria Uamuzi ambao umepingwa vikali na asilimia 99% ya wasanii wa nchi hiyo kwa kusema iweje wao wapiganie tasnia hizo kwa shida kubwa kwa miaka mingi bila support ya serikali na Sasa serikali hiyo hiyo inakuja kibabe kupitisha Sheria zisizo rafiki bila hata kuwashirikisha wasanii wenyewe.

Zaidi, Soma => NIGERIA: Wasanii waonywa kuhusu kurekodi filamu na video za muziki nje ya nchi

Sehemu ya andiko la kikundi hiko kikionyesha ubabe flani inasema

"We urge the security agencies in the country to arrest Mr. Peter Okoye for disrespecting our government and bringing it to a disrepute.

If you cannot produce in Nigeria and hire Nigerians, then leave the industry. We must export Nigerian culture to the outside world through our music and videos"

========

In response to Peter Okoye’s comment, the APC youth renaissance group issued a statement signed by Collins Edwin, the group’s national secretary.

The group, though not known to have official links to Nigeria’s ruling APC, was clearly in support of the government policy.

The group’s statement described Peter Okoye as a “son of darkness” saying the P-Square group should be the least to make such remarks as it was a government policy mandating all broadcasting stations to play 95 per cent of Nigerian music every day, that brought the group to lime light.

“Now that government has intervened to raise great and better entertainers again, Peter Okoye has the gut to insult the entire Federal Government by calling our great leaders ‘Ndi Ala’ which means mad and stupid people. How dare you say that Psquare?”

The group therefore urged security agencies to arrest Mr Peter Okoye for disrespecting the government.

“If you cannot produce in Nigeria and hire Nigerians, then leave the industry. We must export Nigerian culture to the outside world through our music and videos,” the statement said.

In response to the group’s call, Peter Okoye in a twit, Tuesday said “Abeg make him order Egusi, pounded yam and goat meat join for the arrest. I know those youth will start from 70 and above. Onye ala.”


Source: pemiumtimesng
 
aisee kazi sana! Wengine wenye mikwanja ya kutosha Na wanafanya vizuri kama wizkid si wanaweza kuchukua uraia wa nchi nyingine hata ikiwa jirani yao Ghana
 
Kuna Watu hawapendi kushughulisha kabisa bongo zao.
 
aisee kazi sana! Wengine wenye mikwanja ya kutosha Na wanafanya vizuri kama wizkid si wanaweza kuchukua uraia wa nchi nyingine hata ikiwa jirani yao Ghana
[emoji38]eti hata Ghana lol
 
Ashikishwe adabu ili siku nyingine awe na adabu kabisa... Kutokubaliana na jambo si sababu ya kutukana watu...

Ashikishwe adabu mara moja hata kwa kifungo cha miezi sita akitoka huko atajifunza ya kuongea...
 
Thank you much mods kwa editing,imekaa vizuri.
 
"Ndi Ala"

Viongozi wengi wa Africa Sijui wanamdudu gani kichwani.

Lai Mohammed mzee wa 1951 anaropoka tu!!

Sasa wananchi/wasanii wakiamua kuigeuza kauli yake kihivi-kama wao wanapigania Nchi Yao kwa uzalendo kwanini wakiugua huenda kutibiwa Nchi za Ulaya...?

Pia kwanini watoto wao huwapeleka shule nzuri za Uropa...?
Kwanini wasiwasomeshe Nchini...?

Viongozi wengi wa Africa ni wapuuzi na wajinga kwelikweli...kazi Yao kubwa kukwapua fedha na kuacha wananchi wengi wakiogelea katika bwawa la umasikini.
 
Back
Top Bottom