Kikundi cha wahalifu nchini Uingereza kinachojihusisha na wizi wa magari kwa kutumia kifaa cha michezo (game boy)

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti.

vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku yake.



Baada ya kuwaoji ndipo walipoweka wazi kuhusu mbinu wanayotumia kwenye kifaa cha michezo ambacho kimeongezewa mifumo ambayo si rahisi kutambua hata ukiwakamata.

NOTE:
Kuna mada nilishajaribu kueleza mbinu za kiharifu za wizi wa magari hasa haya rimoti.

Serikali na idara ya polisi wasipokuwa makini wa kutambua vifaa vinavoingia na kutoelewa matumizi yake basi ni hatari.

Hizi ni moja tu sample.




 
Sample zengine za kutambua mawimbi ya aina gani.

Hii mpaka simu unaweza kusiliza, kujua gari inatumia frequency hipi.

 
kifaa hiki kinaitwa cellebrite.
mara nyingi ni kwa vyombo vya usalama pale wanapopata simu ya muharifu au mtuhumiwa ili kupata ushaidi.
ndani ya simu
 
hiki kinaitwa flipper
kazi maalumu kinaweza kuclone kama card za kufungulja milango yoyote na mageti

 
Kujiwekea ulinzi kwa njia za kielectronic ni rahis sana kuibiwa kielectronic pia.. we weka ulinzi wa electronic na ule wa kizamani yaani mbwa walinzi na ukiweza hata hata wa kichawi ili uishi salama...kwa style hii moja au mbili zikfeli basi walau moja itadhibiti.
 
Wasije wakagundua wezi wetu huku bongo,mbona tutaibiwa mpaka tukome...
 
penye kila jambo jema pembeni yake lipo la uharibifuuu ... Mathayo 13:30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…