Kikuyus achanani na Miguna Miguna

Kikuyus achanani na Miguna Miguna

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Wakikuyu ukabila unawatafuna vibaya. Nyerere aliwahi kusema hakuna zambï mbaya duniani kama ukabila na ubaguzi. Kwani ni zambi ambayo hukuwa kadri muda unavyokwenda. Nasikuzote mtu mkabila hana tofauti na mtu anaekula nyama za watu kwanï sikuzote ningumu kuacha. Kikuyus zambi yaukabila imewakomaa kiasi kwamba mmeanza kubagua hata nchi nyingine barani Africa kwa kuzisengenya kwenye mitandao japo hamjawahi fika hata kwenye hizo nchi husika.
Hamna tofauti na mtu anaekula nyama za watu kama alivyodai Nyerere. Ukabila unatapakaa vibaya sana. Nazambi mbaya sana na ndomaana husema wakikuyu mlilaaniwa.

Hivi kulikuwa nahaja gani kumtoa Miguna Nairobi nakumpemleka eneo lakabila lenu?? Nipicha gani mnawaonyesha wakenya?? Napowachambua kweli nakuwa nakosea.??
Screenshot_20180202-201548.png
Screenshot_20180202-201623.png
Screenshot_20180202-201642.png
Screenshot_20180202-201929.png
Screenshot_20180202-202018.png
 
Back
Top Bottom