The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
anaelewa kwa sababu maji ya kupitisha meli yapo,yaani ziwa nyasa bwana....Ila ametoa ahadi ya meli mbeya mhhh! Sijui kama anaelewa vizuri jiografia ya huo mkoa ulivyokaa
Ahadi zingekuwa ni amri sijui ingekuwaje maana tokea nimeanza kusikia anatoa ahadi mpaka sasa zimefika kama 30 hivi sasa sijui huwa anakaa na kutafakari ahadi alizozitoa au ndio huwa hakumbuki chochote kile akimaliza kutoa ahadi mwendo mdundo
Wahuni wengine wa Chadema wapo hapa JFSikutendewa haki, na ndiyo maana nasema wote walioshiriki kunipiga pale makao makuu ni wahuni tu, na hilo ndilo linalonishangaza kwa chama kikubwa kama Chadema kufuga wahuni pale makao makuu."