Elections 2010 Kikwete Aanza Hujuma Kumzuia Dr. Slaa Asimalizie Kampeni Mbeya

Elections 2010 Kikwete Aanza Hujuma Kumzuia Dr. Slaa Asimalizie Kampeni Mbeya

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
853
Reaction score
115
Kikwete aanza hujuma kumzuia Dr. Slaa asimalizie kampeni Mbeya

Kuna tetesi zimeanza kuvuja toka ndani ya CCM (hapa Dar) na Mkoani Mbeya kuwa wakati Dr. Slaa ameamua kufungia kampeni Mkoani Mbeya, JK ameamuru viongozi wa mkoa na wilaya zote kuzuia mkutano huo. Habari zaidi zinasema kuwa katika mpango huo, anaelekeza kuwa yeye mwenyewe JK, atafungia kampeni zake Mbeya wakati wengi tunajua kuwa atafungia Jangwani.

Habari hizi bado hazijathibitishwa. Nitaenmdelea kufuatilia na kukufahamisheni. Na kwa wale walioko Mbeya, Tafadhari leteni habari zaidi mkizipata. Hata hivyo, naamini People’s power itashinda.
 
Hata kama JK atataka kufungia kampeni zake Mbeya hakuna kitu kinawazuia wote kuwa huko mbona viwanja ni vingi?
 
Hata kama JK atataka kufungia kampeni zak eMbeya hakuna kitu kinawazuia wote kuwa huko mbona viwanja ni vingi?

Wote wafungie huko?? Je ikitokea mwingine akavuta wengi kuliko mwenzake si italeta rabsha!!!
 
Back
Top Bottom