Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwako mh RAIS
Nahisi naingilia uhuru wa mamlaka yako lakini kwa hili naomba niwe muwazi wa moyo...mh Rais hili swala la maalbino limekuwa sauti na kelele kwa kila mtanzania.aiwezekani ndugu zetu watanzania wenzetu wakawa wanauwa kama wanyama.
Mh RAIS
Kama ni usalama vyombo vyako vyote vya usalam,a vimeshiriki kwenye usanii wa kukuonyesha kwamba wako serious na hil swala lakini si kweli ..albino wanazidi kufa...albino wanazidi kuwa vilema wa maisha...kwa nini mh rais unalijua hili umelikalia ??y??????????presideaa
Hiiv majuzi umetangaza swala la kupigwa kura wauaji wa albino
Kwanza huu ni usanii na nina uhakika hata kule jeshini ulikokuwa walipokusikia walihamaki sana!!!!hakuna haja ya kutafuta wauaji wakati wauwaji wanajulikana......mh Rais tumeshindwa kukuamini tena kumbuka swala la
MADAWA YA KULEVYA
Ulisema umepata majina na unayafanyia kazi..soon mpaka leo hii mh rais majina umeyakalia na hakuna hata siku moja uliyotangaza basi jamani yale majina bahati mbaya yaliliwa na panya...je uu ni uungwana,,na kwa hili nani ataamini unaweza kuwa serious na swala la albino..ni shame bunge la nje kuongelea mauaji ya tanzania wakati bunge lako tukufu lilikuwa kimya
Mh Rais;tunashusha kilio chetu wawaji wapo na unawajua..na wengine wako madarakani kwenye uongozi wako na wengine wanajitahidi kuua uwachague 2010 pengine 2010 unaweza ukawa umejaza viongozi wote walioingia kwa kuua maalbino ........hakika kuna umuhimu wa kulifanyia kazi!!vinginevyo damu ya hawa watu itakufuata popote utakapokwenda ama ulaya ama asia kama si peponi...!!!!!!!!
WITO
SALA
Mh RAIS watanzania wamekosa hofu ya mwenyezi mungu;yah ata kama hapo nyuma mlikuwa mnatudanganya kwamba albino awafi kumbe wanauwawa na kuwaona watu wakishain na magari ya uwaziri eg NW VB;W MIU...LOH!!!WANAITAJI HEKIMA NA MAARIFA YA MWENYEZI MUNGU;mwombe Mungu ashushe hofu juu ya watanzania wamwogope mungu;ukiwa na uwoga na mungu uwezi kuwaua binadamu mwenzako kinyama vile;kama viongozi wa serikali yaani maaskari wanapojiussha na mauaji haya
Swala la kwanza ambalo ni la muhimu ,wauaji halisi wa hawa watu ni wafanyabiashara na VIONGOZI wa SIASA....haya makundi kama ukiweza kukaa nao na kuwapa ukweli halisi BIBLIA INASEMA ""MCHAWI NA AUWAWE""kwa hiyo jamani yoyote atakaehusika hiyo iwe sala yao mauti
LA PILI
Kaa na wazazi waliobahatika kuwa na watoto maalabino;imezuka sasa kama dizaini ya wazazi kuwauza watoto wao kwa ajili ya njaa ama shida;angalia utawezaje kuwasaidia wakubwa kwa watoto (albino's).
Wengi wa wazazi wanafikia hali hiyo kwa ajili ya kukosa msaada wa kuwahudumia ,natumain idadi ya maalbino tunaweza kuwatunza na kuwahudumia kama tukiwa na nia.