Kikwete achague kupendwa na CCM au na watanzania ?

Kikwete achague kupendwa na CCM au na watanzania ?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
Katika hili swalala katiba mpya ungepewa nafasi ya kumshauri Rais,unagemshauri achague nini na unadhani ni rahisi kutekeza ushauri wako?
 
Katika hili swalala katiba mpya ungepewa nafasi ya kumshauri Rais,unagemshauri achague nini na unadhani ni rahisi kutekeza ushauri wako?

Asaini faster mswada, nchi haiwezi kuongozwa kwa vitisho vya nyau
 
anatakiwa atathmini,,maoni yanayotolea,,yenye ukweli,,ndio yakufuata,,,so kwa mantiki hiim direct,,,inabid asikilize wananchi tuuu
 
Nani anaweza kuwepo bila mwingine, chama hakiwezi kuwepo bila wananchi waliowanachama. Nchi hii si kati ya zile za ukomunisti enzi zile ambako chama huamua hatima ya nchi. Hapa si suala la chama fulani bali mustakabali wa Watanzania kwa ujumla wao. Maoni ya watanzania ni ya lazima ingawa ya chama yanaweza kuwa muhimu. Nadhani ukifkiri kwa kiwango hiki hakuna ugumu wa uamuzi. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom