Nani anaweza kuwepo bila mwingine, chama hakiwezi kuwepo bila wananchi waliowanachama. Nchi hii si kati ya zile za ukomunisti enzi zile ambako chama huamua hatima ya nchi. Hapa si suala la chama fulani bali mustakabali wa Watanzania kwa ujumla wao. Maoni ya watanzania ni ya lazima ingawa ya chama yanaweza kuwa muhimu. Nadhani ukifkiri kwa kiwango hiki hakuna ugumu wa uamuzi. MUNGU IBARIKI TANZANIA