Kikwete Adai Suala la Katiba Mpya ilikuwa ni Mpango wa Serikali.

Kikwete Adai Suala la Katiba Mpya ilikuwa ni Mpango wa Serikali.

Haha haha haha. Kweli JK kazaliwa kupenda sifa. Kama CCM na serikali yao walitaka Katiba ilikuwa ipitishwe baada ya NEC kumtangaza yeye? au Katiba ya CCM ilikuwa iletwe baada ya Dowans kulipwa? Ujinga mtupu huu..."Sijui kama JK anajua Kazi ya Katiba ni nini"
images

images
 
Raisi mjinga kama huyu sijui kwa nini wananchi wanamuacha tu anasema uongo. Kwa kweli najisikia kichefuchefu sana juu ya dubwana hili.
 
Usanii nayo ni fani wakubwa. Ni sanaa kwenda mbele!!! Huyo ndo Mr. President bwana......
 
As if....!!!Anaendeleza tu usanii!!!:horn:
 
si ndio maana anaunda tume yeye kwa vile ni mpango wa sirikali! na itakuwa ya sirikali!?
 
Anafikiri sisi wooote nchi nzima tunalala,tuishi,tunawaza,tunafikiri na kuamua kama yeye!! hawezi kuwa serious kwa mambo mazito yanayosumbua nchi anacheka hata kwa vitu vinavyokera sana kama Dowans!!! ama kweli mswahili ni mswahili tu
 
:twitch:Jamani wacheni kumzungumzia mwendawazimu Kikwete inaelekea wote hamna cha kusema mpaka mnamzunguzia huyu Fisadi. Tuzungumzieni lini tutaanza revolution ya kumtimua huko Magogoni maana amepageuza sehemu ya kufanyia sherehe na ufisadi. :roll:
 
Ni muhimu sana tukaendelea kumchambua na kumfikishia ujumbe.
 
Back
Top Bottom