Elections 2010 kikwete akiri!!!!!!!!!

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.πŸ˜›eep:
 
mie ya mkoa wetu nampelekea mapema iwe ya kwanza kutekelezwa
 
kaongeza kuwa "rites" wametutia ndimu, tumeachana nao. hajaelezea wazalendo waliomuonya kuwa rites ni bomu:bowl:
 
hatakuwepo madarakani ndugu yangu!!!!!!!!!!
 
Tena kakiri wengine wanamchomekea. Mwananchi wa kawaida haelewi anachozungumza
 
anaongelea ugunduzi wa gesi baharini ili tusahau dhahabu yetu.
 
anajaribu kuleta fikra mpya ya ujenzi mpya wa bandari itakayotumiwa na uganda.
kiuchumi naamini hilo ni kosa ku-invest kwa kutegemea mteja mmoja,
kenya wakimpa bei ndogo ya kutumia bandari ya mombasa maana yake investment yako inakuwa sawa na sumu.
 
Sasa mnategemea ataongelea dhahabu wakati akina RA wamemwelekeza maswali ya kujibu?
 
Haya mapete mpaka watoto wamevishwa....mimi nilitaka kumuuliza kuhusu ongezeko la ahay mapete...simu ya Clouds haipatikani
 
kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.

Kumbe JK anapiga ramli tu na maisha yetu....................................
 
Haya mapete mpaka watoto wamevishwa....mimi nilitaka kumuuliza kuhusu ongezeko la ahay mapete...simu ya Clouds haipatikani

Jamani naomba mnielimishe haya mapete huwa yana maana gani? Uchawi? Freemasons? Nimeyaona kwa utoh, mkapa, ndamalya itv, adam malima naibu waziri, wabunge kadhaa, etc. Wanatoa wapi? Au kwa shehe yahya? Nyerere alikua nayo?
 
Nguvu za ziada zaidi ya kumwamini Mungu, na Biblia inasema OLE WAO WAMTEGEMEAO MWANADAMU!
 
kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.πŸ˜›eep:

ni kielelezo cha rais mleta mizaha, narudia Rais Mleta mizaha.
 
Haya mapete mpaka watoto wamevishwa....mimi nilitaka kumuuliza kuhusu ongezeko la ahay mapete...simu ya Clouds haipatikani

Wanadai yanawaongezea "Ngekewa"!halafu wanasali, Tunaamini kwa mungu mmoja anaitwa MUNGU,ALLAH, GOD, JAH, NA USIMUAMINI MWINGINE ILA YEYE, huu moto utachoma wengi!
 
kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.πŸ˜›eep:

Hii kali kweli na kubwa kuliko ila sishangaiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…