Elections 2010 Kikwete alidanganya wafanyakazi MISHAHARA haijaongezwa - Ghasia

Luteni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
2,274
Reaction score
302
On salary increment, Mr Marando said Mr Kikwete told a rally on 22nd August, (according to the media), that he had increased the minimum wage from 135,000/- to 235,000/-, was a lie because according to the Registrar of Political Parties who quoted the Minister of State in the President’s Office (Public Service Management), Ms Hawa Ghasia, the minimum wage is still 135,000/-.

Daily News | Chadema faults Tendwa snub
 
Kikwete is a looser and professional liar.....hana ufahamu na akili, hii inanifanya mchungaji niamini kila mjinga mjinga anaweza kuwa rahisi wa Tanzania
 
Safari hii watachapisha noti na kuvuruga TSh kama Idd Amin.
 
Kikwete is a looser and professional liar.....hana ufahamu na akili, hii inanifanya mchungaji niamini kila mjinga mjinga anaweza kuwa rahisi wa Tanzania
Kwa bahati mbaya u r not far from the truth, kwa system iliyopo CCM, ni kweli any blundering fool can be president, hakuna meritocracy lakini natumaini mwaka huu wa 2010 tutaandika historia mpya...
 
Lakini jamani nimesikia kwamba mishahara ilipandishwa kwa baadhi ya watu KISIRI, hivyo ina maana kama ni siri kuna masharti fulani ya kuto reveal siri hiyo. Ingawa kwa wabongo hakuna siri hata siku moja..

Sasa ili kupata ukweli ni kutafuta ukweli nani baina ya hawa anasema uikweli, ikumbukwe tu kwamba hata Waziri wa Fedha wakati ule Mama Meghji alikana kuwepo kwa wizi wa fedha za EPA, na matumizi mabaya ya ujenzi wa BoT. Karamagi na Richmond na wengine kibaoa ambao walikuja jiuma meno baada ya kupatikana ushahidi against ..

Ni vizuri sana tunapopata picha za maelezo yao wenyewe na yakija pata ukweli kwa ushahidi hapo ndipo tunaposimamisha hoja zetu bungeni au mahakamani.
 
Lakini vipi hawa watu hawajawahi kuwa mtu na kiburudisho chake? Mana nasikia wamewahi kuwa pamoja mtwara mmoja mkvu wa wilaya mwingine mwanafunzi
 
Lakini jamani nimesikia kwamba mishahara ilipandishwa kwa baadhi ya watu KISIRI, hivyo ina maana kama ni siri kuna masharti fulani ya kuto reveal siri hiyo. Ingawa kwa wabongo hakuna siri hata siku moja..

Sasa ili kupata ukweli ni kutafuta ukweli nani baina ya hawa anasema uikweli, ikumbukwe tu kwamba hata Waziri wa Fedha wakati ule Mama Meghji alikana kuwepo kwa wizi wa fedha za EPA, na matumizi mabaya ya ujenzi wa BoT. Karamagi na Richmond na wengine kibaoa ambao walikuja jiuma meno baada ya kupatikana ushahidi against ..

Ni vizuri sana tunapopata picha za maelezo yao wenyewe na yakija pata ukweli kwa ushahidi hapo ndipo tunaposimamisha hoja zetu bungeni au mahakamani.
Kwa hali halisi ya Bongo hii inawezekana kabisa lakini kama wamepandisha kwa watu au grade fulani tu basi ni vyema kuiweka wazi kwani itazidi kuwachanganya na kuwagawa wafanyakazi wa serikali :becky: Ujue eventually kila kitu kitakuja kujulikana na kuwekwa wazi mchana kweupe!
 
Kwa hili naweza kusema Chadema wamepata walichokuwa wanakitafuta, na serikali ingefanya kosa la mwaka kusema imeongeza mishahara wakati hansad za bunge hazionyeshi hivyo, serikali ingekuwa imedharau kazi za bunge.

Chadema walitega ndiyo maana wameamua kutokwenda mahakamani sasa kimebaki kimbembe kwa Kikwete sijui atawaambiaje wafanyakazi wakati Mwanza alitamba kuwa ameongeza mishahara, ngoja tusubiri sijui atakuja na CD gani safari hii.
 
On salary increment, Mr Marando said Mr Kikwete told a rally on 22nd August, (according to the media), that he had increased the minimum wage from 135,000/- to 235,000/-, was a lie because according to the Registrar of Political Parties who quoted the Minister of State in the President’s Office (Public Service Management), Ms Hawa Ghasia, the minimum wage is still 135,000/-.

Daily News | Chadema faults Tendwa snub

Jamani Tendwa amecheza na akili zetu na tayari amefanikiwa kuchomoa shingo ya JK kwenye kitanzi. Nina uhakika mishahara ilipanda na imepandishwa kimya kimya bila kufuata utaratibu wa Bunge (kavunja sheria).

Tendwa alichoamua kufanya ni bora Kikwete aonekane mwongo kuliko kum-disqualify kugombea.
 
Kama ameona hii ndo option nzuri basi si kwamba hii ni bora au afadhali ni kwamba its bad but not worse au worst! Ila kwa mgombea kuonekana kuongea uongo pia ni aibu ... Mi naona katika hili credibility ya Jk imeshaathirika.. wrong moves, wrong decisions lakini katika hilo hakuna jipya...
 
Ni bad move, lakini imemuokoa, maana kama haki ingetendeka basi asingegombea kabisa. Tatizo langu ni wapiga kura wa Tanzania, pamoja na credibility ya JK kushuka bado wanaweza kumpa kura.

Kama upinzania watatumia vyema hii kete, waitumie kama mtaji kuwaonyesha wananchi/wapiga kura jinsi Rais wao alivyo mwingi wa ahadi hewa na MWONGO. Kwa hiyo sehemu zote ambazo amepita na kuahidi kwamba atafanya hiki na kile amewadanganya.

Hapo kwenye ahadi hewa waongezee na ile contradiction ya Misenyi alikosema watu wapewe ardhi lakini Mkuu wa Wilaya akagoma, na ile ya fedha za SGR, halafu wananchi walipopeleka mahindi wakaambiwa hela hakuna!

Credibility ya JK ilishashuka siku nyingi sana, kinachomsaidia ni kwamba anatumia vyombo vya dola, media houses nyingi ziko upande wake na pia key players wa uchaguzi [NEC na Tendwa] ni watu wake au wako pro-CCM.

Ngoja nione move ya CHADEMA kama itawasaidia.
 
Niwajuavyo CCM watatafuta kijembe kingine, na credibility ya huyu mjamaa itabaki hivyo hivyo kwa wanakijijij na vipofu washabiki wa ccm. Nasema hivi maana ujanja aliocheza sasa nathubutu kumwiita Mzee Makamba ni wa aina yake. Lile dhoruba lililotupiwa kwake la kumpa mtoto wa shule mimba amelizolea mbali, na sasa tukawa na Slaa na Josephine. CHADEMA imefanya vizuri hadi sasa lakini wasibweteke, hatujui ni teke au ni kofi zamu hii. ACHA CCM BWANA, THEY ARE SO DARING, THEY CAN LIE IN DAILY LIGHT AND GET AWAY WITH IT! THEIR CONTESTANT IS TYPICAL OF THIS! But the TRUTH SHALL ALWAYS PREVAIL!
 
Jamani Tendwa amecheza na akili zetu na tayari amefanikiwa kuchomoa shingo ya JK kwenye kitanzi. Nina uhakika mishahara ilipanda na imepandishwa kimya kimya bila kufuata utaratibu wa Bunge (kavunja sheria).

Tendwa alichoamua kufanya ni bora Kikwete aonekane mwongo kuliko kum-disqualify kugombea.
Tendwa kam-save Kikwete asionekane kavunja taratibu za bunge kitu ambacho kingeharibu image ya rais ndani na nje ya nchi, lakini kisiasa kamuweka kwenye position ngumu anaonekana rais mwongo anayeyumbishwa na washauri wake.
 
Katika hilii suala anaona serikali inacheza na akilii za watu. Hadi sasa kuna circular moja tu ya serikali ( ya 3/8/2010) inayoonesha kuwa mishahara ya watumishi wa umma imepandishwa kwa asilimia 29-30. Hata hivyo TUCTA walisema kuwa bado wanasubiri circular mpya ambayo ingeonesha hilo ongezeko la kima cha chini kwenda 235,000/= (wengine wanasema kuwa ni 360,000/=). Nadhani kwa kimbembe hiki, hiyo circular haitatoka tena. Inabidi wafanyakazi wavute tena ule uzi wao ili mbayuwayu akachanganye akili na kutafuta uongo mwingine.
 
Nasubiri nione kama magazeti ya Mengi yatathubutu kuandika serikali imesema mishahara haijaongezwa. Yatathubutu kusema Kikwete kadanganya?
 
tanzania ina magazeti machache sana yanayoandika kwa weledi la kwanza ni Mwananchi, Raia Mwema yakifuatiwa kwa mbali na TZ Daima, Majira na Mwanahalisi mengine yote yaliobaki ni Udaku mtupu ukianza na Mtanzania, Rai, Nipashe, Kiu, Sani, Ijumaa Nk
 
ongeza na Habari Leo. Binafsi Hili gazeti nilikuwa nalipa heshima na ni moja kati ya magazeti ya kiswahili niliyokuwa nikipata nakala kila siku. Lakini tangu likubali kutumika kama gazeti la udaku la chama nimepoteza interest nalo kabisa!
 
Back
Top Bottom