Eti wanajamii hivi kikwete alivyoo ingia madarakani dola ulikuwa inauzwa shilingi ngapi?na sasa anaondoka anaicha inauzwa shilingi?halafu tunaambiwa uchumi unakuwa,sasa sijui unakuwa kwa njia zipi?wakati mpaka tooth stick tunanua toka china
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.