Kikwete aliingia madarakani Dola ilikuwa shilingi ngapi?

socercity

Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
59
Reaction score
18
Eti wanajamii hivi kikwete alivyoo ingia madarakani dola ulikuwa inauzwa shilingi ngapi?na sasa anaondoka anaicha inauzwa shilingi?halafu tunaambiwa uchumi unakuwa,sasa sijui unakuwa kwa njia zipi?wakati mpaka tooth stick tunanua toka china
 
Ilikua sh1130, mwaka 1983 dola 1 ilikua sh12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…