Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
JK Kiongozi anyejiaminiUnaikumbuka ile ya Escrow, nchi nzima inamsubiri Rais atoke kwenye matibabu ya tezi dume Marekani ili atoe neno lake..
Akafika Airport akaongea kuhusu ugonjwa wake ulivyoanza, alivyoiaga familia yake, alivyopokelewa na kutibiwa Marekani, kisha akaaga na kuelekea Ikulu, hakutaja neno Escrow hata mara moja.
Unaikumbuka ile ya Escrow, nchi nzima inamsubiri Rais atoke kwenye matibabu ya tezi dume Marekani ili atoe neno lake..
Akafika Airport akaongea kuhusu ugonjwa wake ulivyoanza, alivyoiaga familia yake, alivyopokelewa na kutibiwa Marekani, kisha akaaga na kuelekea Ikulu, hakutaja neno Escrow hata mara moja..
Mama hajiamini kwani?Jakaya Kiongozi anyejiamini
Waliomfuata bbada yake wako very insecure
umesoma mpaka mwisho lakini?Hongera sana kwa kuamua kufuata ushauri wa mtu asiye na ujuzi hata wa kupima malaria kwa darubini...
Kwahiyo unataka kumaanisha Gwajima yule anaetembea kutegemeana na uelekeo wa upepo?!umesoma mpaka mwisho lakini?
kakwambia utajua wewe Gwajima gani. Kama ni Gwajima mvaa scarf ya bandera au Gwajima mchungaji.
Mwanamke hajawahi kujiamini hata siku moja, Ukimpinga anadhañi ni kwa sababu ya jinsia yake.mama yenu hajiamini na ni kilazaMama hajiamini kwani?
Mbona alianza kupendwa sana.
why kila kitu lazima ajibu tena kwa mhemko?
yaani lisilompendeza anakasirika kabisa
Kufuata ushauri wa nani?Hongera sana kwa kuamua kufuata ushauri wa mtu asiye na ujuzi hata wa kupima malaria kwa darubini...
Jibu lipo kwenye Post #12Kufuata ushauri wa nani?
Mwanamke huwa anajibagua mwenyewe hata kabla ya kubaguliwa.Mwanamke hajawahi kujiamini hata siku moja, Ukimpinga anadhañi ni kwa sababu ya jinsia yake.mama yenu hajiamini na ni kilaza
Hataweza kujibu hadi anaingia kaburini wakati alishawaambia ni pesa za IPTL?!Swali gumu kwa Kikwete: FEDHA ZA ESCROW NI MALI YA SERIKALI AU SINGASINGA NA RUGEMALILA? hatoweza kujibu hadi anaingia kaburini.
Swali gumu kwa Kikwete: FEDHA ZA ESCROW NI MALI YA SERIKALI AU SINGASINGA NA RUGEMALILA? hatoweza kujibu hadi anaingia kaburini.
Maza anajiamini sana,hizi kelele wala hazimpi shidaMama hajiamini kwani?
Mbona alianza kupendwa sana.
Why kila kitu lazima ajibu tena kwa mhemko? Yaani lisilompendeza anakasirika kabisa
Sasa kwanini Ruge na Singasinga wakamatwe?Hataweza kujibu hadi anaingia kaburini wakati alishawaambia ni pesa za IPTL?!