DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Ukitaka kumpata malaya kwa bei poa...anza kwa kumsifia kwanza.
There is a new scramble for Africa. On one side there is China, establishing herself firmly in many african countries. The West is also coming back with full force.
Ukitaka kumpata malaya kwa bei poa...anza kwa kumsifia kwanza.
ukweli ni kwamba kwenye la kufunguliwa kwa matawi mapya mengi ya benki mijini, so far tunaongoza kwa East Africa, maana last time tulikuwa 59%, sasa tumesogea to 69%, ongezeko la 4%, in one year, nchi nzima kwa ujumla ni 81%, Kenya 65%, Uganda 45%,
Roma haikujengwa kwa siku, na sisemi kuwa haya ni mafanikio ya Muungwana, hapana haya yalikuwa in works toka hajaingia urais, je ni maendeleo yes, je yanawafikia wananchi nchi nzima no!, lakini ni maendeleo anyways!
Penye mazuri tukubali, na kwenye mabaya tukemee!
Maendeleo yapo na yanafanyika, lakini sio kwa mwnedo ambao tungeutaka, serikali yetu ina matatizo mengi sana ya kuya-over come, na hasa wananchi wasiokuwa na elimu au uelewo wa kinachoendelea,
ukweli ni kwamba kwenye la kufunguliwa kwa matawi mapya mengi ya benki mijini, so far tunaongoza kwa East Africa, maana last time tulikuwa 59%, sasa tumesogea to 69%, ongezeko la 4%, in one year, nchi nzima kwa ujumla ni 81%, Kenya 65%, Uganda 45%,
Roma haikujengwa kwa siku, na sisemi kuwa haya ni mafanikio ya Muungwana, hapana haya yalikuwa in works toka hajaingia urais, je ni maendeleo yes, je yanawafikia wananchi nchi nzima no!, lakini ni maendeleo anyways!
Tatizo ni kwamba we are not being realistick, in two years hakuna rais anaweza fanya miujiza kama nyinyi baadhi ya wajumbe wa hii forum mnavyotaka, wananchi so far wanaonekana kuridhika na mchache mazuri, na pia kutoridhishwa na machache mabaya, mpaka kufikia hatua ya kuwazomea viongozi wote wa pande mbili, hilo linaeleweka,
Regardless ya the size, lakini yanapo onekana hata kama ni madogo, maendeleo lazima tuseme na tujipongeze, maana ni madogo ambayo huwa yana weka msingi wa makubwa, viongozi wetu wananhitaji encouragement wanapofanya something na pia criticism wanapoharibu, lakini haiwezi kuwa laawama tu kila kukicha, maana hata mtoto anylaumiwa tu kila siku kuwa hafai atakuwa mtoto wa aina gani huyo?
Penye mazuri tukubali, na kwenye mabaya tukemee!
SAFI SANA HAPO, EBU KULA 5 !FMES: ndio tukasema kwamba kinachofanyika sasa hivi ni kama baba kujaribu kuanza kuwanunulia watoto wake nepi, ajabu ni kwamba baba huyu anataka asifiwe kwa kutekeleza wajibu wake huu wa msingi kabisa, na alilaumiwa kwa kutofanya wajibu wake anakuwa mbogo! Sasa sisi hatumtuma aoe na azae wala watoto hawakumuomba awazae, ni matokeo ya mapenzi na mkewe. Vivyohivyo JK atekeleza wajibu aliuomba kwa bidii sana. Akitekeleza vizuri ni wajibu, na anaposhindwa tuna haki ya kumlaumu na kumzomea. Sasa hili la kufungua kama nalo ashangiliwe la, hilo mimi nawaachia wengine!
ndio hapo, members hapa JF hawataki kukubali kwamba maendeleo yanaonekana pia hatukatai kuna uzembe unafanyika hapa na pale, lakini iweje watu wabase kwenye mabaya tu ? ina maana mazuri hayaonekani ??
lakini kwa kuwa tupo pamoja hapa forum, basi ujumbe utawafikia tu kwamba maendeleo hayaji ndani ya miaka 2 !
kwani wee maendeleo unadefine vipi ? kuwa na pesa nyingi mkononi au ?
binfasi nadifaini maendeleo kama kutoka ngazi moja kwenda nyingine (toka umaskini kwenda kwenye mafanikio).. kama ulikuwa unakula kiazi kimoja kwa ajili ya chai, halafu ukala viazi 2-3 kwa ajili ya chai asubuhi basi hayo ni maendeleo, lakini kuna wale waliobarikiwa zaidi kama wewe unapush magari (sijui kama unaweza ukadifaini kuwa na magari ni maendeleo) !!
haya bana nyani, usianze matusi tu maana wewe nakujua ! wkend njema !
Kumbe unaogopa matusi ee? najiuliza hapa inawezekana sisi watanzania tunapiga kelele kwa sababu hatujui tunachokitaka. Hayo maendeleo ya kula kiazi kimoja kwenda kwenye viwili je ni maendeleo endelevu? nadhani watanzania wanataka maendeleo hasa ya huduma za jamii kama afya, elimu, maji, umeme, etc. ambayo kwenye broad sense Muungwana anayaita maisha bora. sasa hayo maisha bora ndio watanzania wanayataka mkuu.
Ndugu yangu, hayo ya kutoka kiazi kimoja hadi viazi viwili ndio maendeleo CCM style na ndio maana unajiuliza hata wewe mwenyewe kama ni endelevu au la..Yaani hapa nilipo nimecheka hadi usingizi umeniisha...huo mfano wa viazi kwa kweli ni kiboko!! Sasa kama Kada na CCM wenzake wanaona kula viazi viwili ndo maendeleo basi bana...Kama Watanzania mnasubiri maendeleo chini ya utawala wa CCM shauri lenu...definisheni na mifano yao ya maendeleo ndio hiyo ya viazi...kwikwikwiiiiiiiii
Sijui hivi viazi vya Kada ni viazi ulaya au viazi vitamu..? Kwa vile ni maendeleo basi nadhani vitakuwa viazi ulaya...lakini mimi napenda viazi vitamu bana...unajua kule kwetu Usukumani viazi vitamu huwa tunatengenezea matobolwa....yummy