Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?

Ebu kama una mtu wako Polisi kaulizie! utajua ukweli kwamba nyongeza hazikuwa kwa wafanyakazi wote. Polisi na magereza nasikia hao wamelambishwa. Wengine atika majeshi sina hakika. Mwenye datas atupatie.