Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sio Tanzania!
Sio chini ya serikali ya Kikwete!
Sio baada ya kuona kilichotokea kwa watangulizi wa hili saga!
Hakuna mwenye nia wala haja ya kuwachukulia hatua yoyote yenye tija wote wale waliohusika na njama za kuiibia nchi hii kupitia Ricmond, achilia mbali wizi mwingine wowote. Serikali iko macho "kiulinzi" bwana!
Naomba kujua wakuu amestafu yeye mwenyewe au ndio umiri wake umefika au amembiwa kufanya hivyo??
Wewe Congo,
Mimi natamani wote wanaohusika na Richmond waondoke kabisa serikalini. Hata kama Kikwete naye ni mhusika aondoke.
Nina hakika nchi inaweza kuenda mbele vizuri bila wababaishaji hawa wezi wakubwa.
Hakuna lolote litakaloharibika hata kama serikali yote iliyo madarakani ikiondoka. Ilimradi tubaki na serikali safi yenye hofu ya Mungu kwa kuwajibika kwao.
Lakini kwa sababu ya ujinga wao na wa baadhi ya watu wanadhani wakiondoka wao basi nchi haitabaki. Ni uongo na udanganyifu wao tu.
Tumechoka na wezi wa mali za nchi yetu hii tuliyopewa wote na mwenye enzi Mungu wetu.
Huyu Mkuu ni bahati mbaya tu kajikuta kwenye mkondo mbaya..otherwise he is A MAN OF IMPECABLE CHARACTER - UPRIGHT IN OTHER WORDS.Labda kuna kitu kinaweza kufuat baada ya huyu jamaa kusitaafu, na ukichukulia kustaafu kweneyewe kumekuwa kwa lazima.
Kila la heri J. Mwanyika!!! Ukweli ninao ufahamu jamaa hakuwa na raha kabisa na huo wadhifa (from reliable sources). Cheo kile kinakulazimisha kufanya uproffessional decissions!!!! Hakupenda!!! Believe it or not. Ni kwa muda mrefu alitaka ajiuzulu!!! Ingeleta mtikisiko!!!
Mkuu u can say that again.
Ninavyomfahamu huyu mtu ni safi... kama ni makosa siyo kwa vile yeye ni fisadi...ni basi tu unajikuta uko na watu wenye mambo yao.
Hata mimi ningekuwa sifahamu sana hii maneno ningesema hivyohivyo kama ulivyosema wewe mkuu.Kwani ilikuwa lazima afanye kazi hiyo? Hata hivyo ashukuru Mungu tu kwamba JK mwenyewe ndiye mzee wa Richmond. Vinginevyo baada ya lile azimio la Bunge watu wote walitajwa wangekimbia na mitondoo huko keko na segerea. VX zao zingebadilika na kuwa zile Green Coaches!!
Hata mimi ningekuwa sifahamu sana hii maneno ningesema hivyohivyo kama ulivyosema wewe mkuu.
Kwa wanaomfahamu huyu bwana,wataniunga mkono kuwa kapanda vyeo hadi AG on merit na hata ingekuwa mie huenda labda ningejikuta kwenye kasheshe kama hilo.Unatumikia serikali yako na katika kufanya kazi yako siyo kila mtu atafanana na wewe.Kuna mambo unaweza yafanya kwa uamuzi wako na kuna maamuzi mengi unayafanya ndani ya system yenye systemic problems.Ikiwa ni kukataa kufanya kazi basi nadhani wengi wangejikata lakini what is the alternative system?Umekulia ndani ya serikali hii hii... utakimbilia wapi na umri umeeshaenda? Mnakumbuka kilio cha huyu bwana kwenye lile sakata ni kulilia uadilifu wake.
Mh Johnson kapumzike kwa amani katika ustaafu wako na heshima yako pamoja na kukaribia kuharibika, wenye kukufahamu watakutetea daima.
Asante Mkuu... nimekusomaInawezekana unayosema ni kweli. Lakini kunaweza kuwa na ukweli kuwa jamaa alibadilika ghafla na kuwa fisadi. Kwani kubadilika kunahitaji karne ngapi? Ulishasikia neno mutation? How long does it take for mutation to take place?
Asante Mkuu... nimekusoma
I rest my case.
Ulipokuwa halmashauri ya Bukoba ulifanya ufisadi nani kakuchukulia hatua?chama ulichokihama una tuhuma nzito za wizi wa pesa unasemaje?Wewe Congo,
Mimi natamani wote wanaohusika na Richmond waondoke kabisa serikalini. Hata kama Kikwete naye ni mhusika aondoke.
Nina hakika nchi inaweza kuenda mbele vizuri bila wababaishaji hawa wezi wakubwa.
Hakuna lolote litakaloharibika hata kama serikali yote iliyo madarakani ikiondoka. Ilimradi tubaki na serikali safi yenye hofu ya Mungu kwa kuwajibika kwao.
Lakini kwa sababu ya ujinga wao na wa baadhi ya watu wanadhani wakiondoka wao basi nchi haitabaki. Ni uongo na udanganyifu wao tu.
Tumechoka na wezi wa mali za nchi yetu hii tuliyopewa wote na mwenye enzi Mungu wetu.
Ulipokuwa halmashauri ya Bukoba ulifanya ufisadi nani kakuchukulia hatua?chama ulichokihama una tuhuma nzito za wizi wa pesa unasemaje?
Ulipokuwa halmashauri ya Bukoba ulifanya ufisadi nani kakuchukulia hatua?chama ulichokihama una tuhuma nzito za wizi wa pesa unasemaje?
Waotaji wa ndoto za mchana ni wengi. Usilolijua ni kama usiku wa giza.Umejuaje wakati anatumia jina la JF?