Nimepata habari kutoka Rombo Kuwa JK amesema kuwa Mramba ana kesi ndogo na atashinda hivyo wananchi wamchague !!!
Ijapokuwa MRAMBA, ana kashifa kubwa ya matumizi mabaya ya uongozi, jk amempigia debe B MRAMBA, achaguliwe tena kuwa mbunge wa ROMBO, JK alikuwa anampigia debe MRAMBA, leo katika mkutano wa siasa uliofanyika katika kiwanja cha shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA, ROMBO.
Ambapo asilimia 50 ya waliohudhuria , walikuwa wanafunzi wa shule mbalimbali hapa tarakea, kama mboma sec, nduweni sec, motamburu sec, mbomai primary, tarakea primary, na nyingine nyingi
Nimepata habari kutoka Rombo Kuwa JK amesema kuwa Mramba ana kesi ndogo na atashinda hivyo wananchi wamchague !!!
...
Nimepata habari kutoka Rombo Kuwa JK amesema kuwa Mramba ana kesi ndogo na atashinda hivyo wananchi wamchague !!!
Kama kuna watu wanamshangilia kikwete nadhani inabidi inabidi wachunguzwe akili.Kweli huyu mtu ana uchu wa kuendelea kukaa mjengoni! Kwani ilikuwa lazima aende kule kumpigia kampeni mtu mwenye ksei kubwa ya ufisadi? Kweli yuko serious kupiga vita ufisadi?
Jamani hata nyie mliomo CCM, hili ni sahihi kwa mkuu wa nchi kufanya? Mramba aliiba hela nyingi sana na angeweza kujikampenia mwenyewe. nadhani kuna uswahiba mkubwa kati ya wawili hawa, na hivyo hiyo kesi ni changa la machoni tu!
WanaCCM wanamshangilia Kikwete lakini wananchi watamchagua Dr. SlaaKama kuna watu wanamshangilia kikwete nadhani inabidi inabidi wachunguzwe akili.
Kama kweli JK alitamka maneno hayo, basi ninasubiri kauli ya Jaji Mkuu. Maana alimjia juu Marando kwamba anaongelea kesi ambazo ziko mahakamani. Kikwete hajaongelea kesi iliyo mahakamani tu, bali ameenda mbali zaidi kwa kutoa hukumu na yeye bado ni Rais, so kwa kofia yake ya urais, kauli kama hiyo inaweza ku-influence hukumu.
Kikwete siyo mwana sheria, amejuaje kwamba kesi ni ndogo na kwamba Mramba atashinda? Anajua ushahidi uliokusanywa na PCCB na DPP? Tukisema kwamba kesi ya Mramba ilipelekwa kisanii mahakamani ili kuonyesha kwamba JK anapiga vita ufisadi, atasemaje?
Hiyo statement ni mtaji tosha kwa wapinzani ili kuiumbua serikali ambayo haina nia ya kupiga vita ufisadi na pia kuingilia uhuru wa mahakama.
Ni JK huyu huyu alikuwa anasema anataka ofisi ya DPP na PCCB wapeleke kesi mahakamani ambazo wana ushahidi wa kutosha na siyo kupeleka kesi ambazo wanaishia kushindwa na kupata aibu. Huyu jamaa kila siku ni kuji-contradict yeye mwenyewe.
ijapokuwa mramba, ana kashifa kubwa ya matumizi mabaya ya uongozi, jk amempigia debe b mramba, achaguliwe tena kuwa mbunge wa rombo, jk alikuwa anampigia debe mramba, leo katika mkutano wa siasa uliofanyika katika kiwanja cha shule ya msingi mbomai kati, tarakea, rombo.