Kikwete amsikia Shyrose Banji kuhusu ushindi wa Londa

Ni habari njema sana kusikia watu wanagombea uongozi wa kisiasa wakiwa na pumzi za siasa.

Wale wengine waliofilisika kisiasa wanalia faulo ya ukabila..!!

Kaazi kweli kweli...Ni Mama mwenyewe ama Nambua?
Maana naona hapumui mtu hapa.
 
Shyrose ni Mhindi ama mimi sijaelewa ? Maana hawa CCM bwana .Kuna mtu kamlinganisha Shyrose na FMES mimi nasema hapana si kweli maana FMES tumeona akisimamia issues hapa hata kukiumiza Chama chake ila huyu Mhindi sijawahi kumsikia popote .
 
Ni machozi ya unafiki tu!
 
Jamani Jk si anazo nafasi za kuteua watu kuwa wajumbe wa NEC?? Nadhani anazo 10 na ametumia 2 kumpa CD na SAS, so akitaka Shy atapata moja bila matatizo na nadhani tutaambiwa siku zijazo kuwa Shy kateuliwa NEC na mwenyekiti.
 
Whichever they decide, things gonna be the same today, tomorrow and always as longer as, it is the same wine in the same bottle! Just recycling of useless ideas! If they wanted to get new ideas and visions, let them come here (JF) or set a National debate so that we can re-desing the vision and roadmap of our own destiny! Otherwise they are playing with our lives and emotions. They will have to pay the price for this.
 
Hii habari ya kubpigwa chini Serukamba ni njema maana jamaa ni shabiki sana wa mafisadi....

Umenena kweli kabisa, jamaa ni mchovu ile mbaya sijui hata hiyo degree yake inamsaidiaje katika kupigania kutaka kutatua mambo ya msingi katika jimbo lake, kazi ni kushabikia wezi na walafi wa nchi hii tu, lakini fundisho alishalipata.
 
Jamani Jk si anazo nafasi za kuteua watu kuwa wajumbe wa NEC?? Nadhani anazo 10 na ametumia 2 kumpa CD na SAS, so akitaka Shy atapata moja bila matatizo na nadhani tutaambiwa siku zijazo kuwa Shy kateuliwa NEC na mwenyekiti.

Nadhani ndicho kitakachotokea.
 
Tehee tehe kumbe sio anti-Shyrose , ni anti-CCM, sasa sijui upinzania aende wapi, labda TLP.
 
Jamani Jk si anazo nafasi za kuteua watu kuwa wajumbe wa NEC?? Nadhani anazo 10 na ametumia 2 kumpa CD na SAS, so akitaka Shy atapata moja bila matatizo na nadhani tutaambiwa siku zijazo kuwa Shy kateuliwa NEC na mwenyekiti.

Kauli nyingine zinatolewa bila umakini. Huyu CD ndio nani? jamani kijiwe kinageuka kuwa kipeperushi cha kuwavunjia watu heshima zao
 
Hii habari ya kubpigwa chini Serukamba ni njema maana jamaa ni shabiki sana wa mafisadi....

Kama katupwa ni vema maana Kigoma mjini kaisahau kabisa na kupanga foleni na mafisadi. Wanaishia kupata ahadikila karibu na uchaguzi. Ohhh maskini!
 
Huyu mama mbona analia lia anafikiri kuna upendeleo?
Sasa wajumbe wanalilia nini kaongea maneno gani mazito kusema anakaribia kwenye uongozi ndo kuongea maneno mazito?

Nafikiri kilichowaliza huenda isiwe maneno ila ni jinsi muongeaji alivyotumia sauti yake na body language kuamsha feelings kwa wasikilizaji.
 
Shy-Rose ni mpiganaji wa kweli ipo siku zamu yake itafika anahitaji kuungwa mkono

Kinachonishangaza ni jinsi watu wanavyo-struggle kupata uongozi kwenye Chama Tawala. Kwa kupata uongozi CCM tutegemee mabadiliko yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…