Kampeni zishamchanganya JK... hehehehh!!!! Maji shingoni....Haiingii akilini mtu achague chama hata kama anayekiwakilisha ni Kiongozi asiyechagulika!!!! Kauli yake haina mashiko kabisa
jamani tumpe Dr slaa kura zetu jamani tusiwe wajinga wakufata mkumbowe CCM imekufanyia nini wanao suport CCM ni wale wanaokula kupitia ccm sisi maskini huku tunaendelea kusema CCM OYEE.