Naona Raisi wetu yupo busy siku hizi kila kukicha kujihusisha na wazungu au wageni kutoka nje...!
Siku hizi kama hajasafiri basi yupo busy ikulu akikaribisha wageni au yupo na mabalozi wao...! Hii inafanya watu wajisikie kudharaulika au kuona tumesahaulika...!