Kikwete anaikubali Chadema ila anakuwa mgumu kuitamka wazi wazi

Anaangalia huku akisema Duhh! hawa jamaa wanafikira nzuri za kimaendeleo hivyo nitatekeleza ilani zao za uchaguzi na kuachana na ya CCM!!! Mwaka 2011 naanza na katiba mpya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…