Masati kumpeleka rufaa ni kuipunguza kasi ya uongozi mahakama kuu, jamaa tangu ameingia pale kama jk aliipa sura yenye tumaini mahakama kuu, ni hardworking na msikivu kwa haki za wafanyakazi na umma
big up jmk na hongera mbuyi massati
Mkuu FDR,Jr,
Nadhani mkwere kafanya jambo jema.
Masati kupelekwa mahakama ya rufaa ni kupanda cheo kwasababu ya uchapaji kazi.Mlitaka Masati abaki mahakama kuu mpaka lini.
*Rais Kikwete ateua Majaji Mahakama
ya Rufaa
----
RAIS Jakaya Kikwete amewateua Jaji Salum Abdallah Legho Massati na Jaji William Steven Mandia kuwa majaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania.
Uteuzi wa majaji hao umeanza rasmi tangu Desemba 18,mwaka huu. Kabla ya uteuzi huu Jaji Massati alikuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Mandia alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi Dar es Salaam.Uteuzi wa majaji hao wawili umeifanya sasa Mahakama ya Rufani kuwa na majaji 16.
Source: Food For Thought
Hivi Jaji Kiondozi ni mdogo kicheo kwa jaji yoyote wa rufaa? Haya maakubwa tena. Ina maana marupurupu ya jaji wa rufaa yako juu kwa jaji kiongozi? Huko rufaa sasa wako wangapi?[/QUOTE]
mkuu wamefikia 18 according to mtoa habari,au hujamsoma vizuri mfumwa???
hebu cheki nae tena.

Hapana, kwa mujibu wa habari wamefikia 16 na sio 18
Hapana, kwa mujibu wa habari wamefikia 16 na sio 18
swadakta mwanawasu.
Mkuu, hizi ndio athari za zama za ruksa ambazo wengi waliona kisomo hakina maana na kugeukia "mission-town". Ukiangalia kwa makini utaona sekta nyingi sana zina gepu za watumishi; kuna generation ambayo mchango wake umekuwa mdogo ktk kutoa watumishi na wataalam, hivyo kufanya waajiriwa wengi kuwa wazee sana na vijana wa miaka ya 75 kwenda juu....yaani upuuuzi mtupu, inakuwaje nchii inakuwa na majajai wazee, watu kama Jaji Makame ni watu amabo wanatakiwa kupumzika ila ndiyo kila siku wanapewa vyeo tu!
Mkuu FDR,Jr,
Nadhani mkwere kafanya jambo jema.
Masati kupelekwa mahakama ya rufaa ni kupanda cheo kwasababu ya uchapaji kazi.Mlitaka Masati abaki mahakama kuu mpaka lini.