Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete ametoa mpya na kali ya mwaka baada ya kuahidi kutoa babaj 400 nchi nzima kusaidia akina mama wajawazito mara wanapapatwa na uchungu na kuhitaji kuwahishwa kupata huduma hospitalini....
Source:Tanzania Daima la leo
Comment: Huyo ndo anautaka urais wa nchi hii na hayo ndo mawazo yake!!!!Najisikia aibu sana kuwa mtanzania na kuwa na kiongozi mwenye mawazo ya hivi