Kikwete awaalika wanamuziki wa kundi la Diamond na viongozi wao

Mie ndo ninavyoelewa Lusajo, mtu kama hana stress anajiangalia vizuri zaidi.

Basi mimi nina tatizo maana mwaka huu stress hazikuwa nyingi sana nimeongeza karibu kilo 11
 
Reactions: kui
Basi mimi nina tatizo maana mwaka huu stress hazikuwa nyingi sana nimeongeza karibu kilo 11

Teh!, hapana si tatizo ni mtazamo tu. Mie ni opposite yako, ndo maana naona JK yuko poa.
 
Dah!! Juzi tu alikuwa na bashasha zake,yupo msoga?
 
Ame-loose kinyama! Hivi katiba hairuhusu ateuliwe kuwa mbunge kisha apewe uwaziri wa foreign affairs?

WACHA WACHA KABISA., AMEKULA VYA KUTOSHA, AMESAFIRI VYA KUTOSHA, WACHA APUMUZIKE HATUTAKI KURUDI KWENYE SERIKALI YA ZAMANI NA NGUVU ZA ZAMANI SASA NI KAZI TU
 


UTAKOSA UZEE KUPIGA HODI, AIBU JE, MASIFA YOTE ALIYOKUWA AKIYAPATA ULIMWENGUNI NA HESHIMA YA KUWA NI KIONGOZI BORA AFRICA YA MASHARIKI, KUMBE ZILIKUWA SIFA ZA HEWA KWA AJILI YA UKIMYA NA UTULIVU WA WATANZANIA, KUMBE CHINI YA UONGOZI WAKE. UFISADI NA UDHURUMAJI ULIJENGA TANZANIA HATA OBAMA AMESHITUKA.
 
Daaah masikini mzee wa watu.
Mbona Mwinyi ni mkubwa lakini bado yuko poa sana?
 





Jumatano ya Sept 14, 2016 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliwaalika wasanii na viongozi kutoka kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz nyumbani kwake kula chakula cha mchana na kuzungumza kuhusu kazi za muziki na maisha.

Rais mstaafu JK, mwimbaji Harmonize na mama Salma Kikwete

Rich Mavoko na Rais mstaafu JK

Diamond Platnumz na JK

Rayvanny na JK



Meneja Sallam SK kwenye picha ya pamoja
 
JK apumzike tu kijijini! Ila asiache kumshauri JPM maana kiti kile kizito sana!
 
Diamond alikuzwa na ikulu sasa ni muda wa kushuka kwani msukuma hataki wakata mauno
 
mzee hajazoea maisha hayo maana mh anafanya hela haionekan hata kwa wastaafu
 
Okay, ukiwa Msanii lazima uwapende wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…