chilamjanye
Senior Member
- Oct 5, 2007
- 110
- 3
Ila kweli atakuwa ana matatizo maana amedanganywa sana, ameanguka sana mpaka unajiuliza ana nini huyu?
Una uthibitisho wa hicho ukisemacho??..nadhani kila mwanadamu inatokea mara kwa mara kuwa na upungufu wa kinga mwilini ndo maana magonjwa kama mafua na TB zinawakamata watu..hizo zinatokana na weak body immune..sasa kwa His execellency r sure of wot u said?Ana Upungufu wa Kinga MWIlini,
Ana wakati mgumu, afya imedorora na upinzani mkali kwenye kampeni!!..Masikini JK!!
wazee wamemtengeneza this time hazimii
wazee wamemtengeneza this time hazimii