Hata Mzee Rhuksa was a better orator than this President.
Unajua huyu mzee alikuwa mjanja sana na makini sana na mazingara aliyomo wakati wowote ule, hakuwa na uwezo mkubwa wa kuongoza, alilijua sana hilo kwa hiyo mara nyingi sana alikuwa akiwasakizia wengine,
Sehemu kama hizi alikuwa akimtumia sana Chokala na hakuwa na maneno mengi, na hakupenda sana sifa na mbwembwe, kwa sababu siku zote yeye hakuwa na anything to prove, ndio maana mpaka leo kwenye private hutamba sana kuwa hakuwahi kutaka kupinduliwa hata mara moja kwa sababu hudai anatujua sana watu wa bara na kupenda misisfa, ukitaka kuelewana nao wape nafasi ya kupata misifa tu, ni kweli!
Hapa UN anmgemuomba Chokala, amuandikie maneno mafupi sana na to the point, ninakumbuka wakati mmoja the ishu ilikuwa ni wakimbizi wa Burundi na kutuvamia bongo, aliweka maneno machache sana na aliwachekesha sana kule UN, aliposema kuwa hawa watu wametumalizia mpaka ma-watermelons, hatuna cha kuwalisha tena UN isaidie wakati waungwana mle wanakufa mbavu Mwinyi alishaondoka mbele hayupo,
lakini sasa hizi mbwe mbwe nyingi, kinachosemwa hakieleweki, mwe Tanzania mweeeee! Halafu mind you wajumbe wengi mle wanamkumbuka sana Mwalimu na kina Salim, lazima wanashangaa sana!