johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mzee Kikwete amewataka wanaccm wote na Wananchi wenye mapenzi mema Siku ya uchaguzi wasiache kwenda vituoni kuipigia Kura CCM
Mzee Kikwete amesema kwenye Siasa hakunaga adui mdogo na Mdharau Mwiba mguu huota tende
Mzee Kikwete amesema hayo mkoani Geita
Source: Ayo TV
Mlale Unono 😀
Mzee Kikwete amesema kwenye Siasa hakunaga adui mdogo na Mdharau Mwiba mguu huota tende
Mzee Kikwete amesema hayo mkoani Geita
Source: Ayo TV
Mlale Unono 😀