I dont know whats is wrong with Zimbabwe people, kama kweli wangekuwa na political will ya ukweli wange fanya massive demostrations nchi nzima kupinga utawala wa kibabe wa Mugabe, ila swali la kimsingi litakuja palepale kuwa' can this fellas demostrate while their stomachs their are empty?, nafikiri ndio maana wengi wanaamua kukimbilia S.Africa.
Binafsi naona pamoja na mambo mengi mazuri ambayo Mugabe ameifanyia nchi ile ni vema sasa akaachia Ngazi for the only sake of millions of Wazimbabwe ambao they are suffering, SADC should take an up hand through massive diplomaticy kuweza kumshawishi jamaa aachie ngazi, tunatambua ni jinsi gani juhudi zake zimefanikisha Zimbambwe kuwa pale ilipo lakini enough is enough, AU kupitia SADC ni wakati wao muafaka kujaribu resolve hili.