Unajua sisi Waafrika tuna matatizo sana. Kibabu kama Mugabe sijui wanamwogopea nini? Hivi wakiamua kumtimua nini kibaya kitatokea? Zimbabwe siyo mali yake binafsi na kailostisha beyond belief. Sijawahi kusikia hata siku moja mfumuko wa bei kufikia aslimia 66,000!!! Only in Africa and Zimbabwe. It is insane. Mimi simlaumu tena Mugabe. Wakulaumiwa ni Wazimbabwe wenyewe.
Mnamtaka JK lawama . He has never exited na kwa hana hatakuwa na mbinu za kusaidia Mugabe exit .Hata hata mbinu za EPA wala madawa ya kulevya hapa hapa Tanzania .Zimbabwe is a serious problem na kwa viongozi wengi wa Africa they are not clean hawaamini katika Democracy ila urafiki madarakani ndiyo maana hata JK hawezi kusema Mugabe achia uje Tanzania utunzwe hadi ufe .Waafrika na hasa viongozi ni marafiki wakubwa wa Iran , China and the likes when it comes to power ila kwa kuomba misaada wanaenda west.Mkuu a.9784 soda ilikuwa inauzwa zim$ 10 million last tuesday sijui kwa sasa. Na hiyo ni bei ya mtaani kwenye mahoteli ya kitalii kama meikles nasheraton ni zim$ 70 million
I dont know whats is wrong with Zimbabwe people, kama kweli wangekuwa na political will ya ukweli wange fanya massive demostrations nchi nzima kupinga utawala wa kibabe wa Mugabe, ila swali la kimsingi litakuja palepale kuwa' can this fellas demostrate while their stomachs their are empty?, nafikiri ndio maana wengi wanaamua kukimbilia S.Africa.
Binafsi naona pamoja na mambo mengi mazuri ambayo Mugabe ameifanyia nchi ile ni vema sasa akaachia Ngazi for the only sake of millions of Wazimbabwe ambao they are suffering, SADC should take an up hand through massive diplomaticy kuweza kumshawishi jamaa aachie ngazi, tunatambua ni jinsi gani juhudi zake zimefanikisha Zimbambwe kuwa pale ilipo lakini enough is enough, AU kupitia SADC ni wakati wao muafaka kujaribu resolve hili.
I miss CIA, enzi zile za kina Patric Lumumba haya mambo ya wapuuzi kama Mugabe yangekuwa kwenye briefcase