Kikwete hulipwa appearance fee?



Hiyo PR firm YA kina FINA haihusiki na haya ..that ni biashara kama biashara yoyote ile ......kuna PR firms hapa tanzania na biashara yao kubwa ni ku manage events za makampuni makubwa kama TBL,VODA,ZAIN etc......mfano PR FIRM ya ruhinda ndio huwa ina deal na VODA....

kuhusu pesa za rais au top rank ni kweli zinalipwa moja kwa moja ikulu,....na wao huziweka kwenye cosolidated accoant ya serikali....MARA NYINGI PESA HIZI RAIS HUCHAGUA KUZICHUKUA SIKU ANAPOONDOKA MADARAKANI.......KWANI AKIWA MADARAKANI KILA KITU HUWA ANAHUDUMIWA....
 

nyani gabu yuko "banned" kwa mwezi mmoja. nadhani karibu atakuwa huru. soma hapa.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/26072-1month-ban-nyani-ngabu.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…