sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
kua na rais mlev pia ni tatizoTatizo lako ni nini?Topic hii haina tija kwa taifa.
Kuwa na Rais "mdokoa wake za watu" nalo ni tatizokua na rais mlev pia ni tatizo
ulevi kwa kiongozi ni tatizo....hujamsikia yeye mwenyewe akiwakemea mawaziri wake kule dodoma kwenye semina elekezi part II????aliwaambia mawaziri waache maisha yao ya awali....ikiwemo kunywa pombe.....Ah!.. Hivi hili nalo ni la kujadiliwa na great thinkers??
haswaaa.inawezekana hata baadh ya speech zake huzitoa akiwa amelanduka ndio maana huanza kuzungumza yale yasiyoandikwa.....Kuwa na Rais "mdokoa wake za watu" nalo ni tatizo
ulevi kwa kiongozi ni tatizo....hujamsikia yeye mwenyewe akiwakemea mawaziri wake kule dodoma kwenye semina elekezi part II????aliwaambia mawaziri waache maisha yao ya awali....ikiwemo kunywa pombe.....
kua na rais mlev pia ni tatizo
Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?
ulevi kwa kiongozi ni tatizo....hujamsikia yeye mwenyewe akiwakemea mawaziri wake kule dodoma kwenye semina elekezi part II????aliwaambia mawaziri waache maisha yao ya awali....ikiwemo kunywa pombe.....