Kikwete hunywa guiness moja kila siku

Labda huu ni upuuzi wa kupotezea wana JF mda?
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
taifa lina maswala tete yanayotukabili eg mauaji ya serikali dhidi ya raia (north mara), nani mmiliki wa kagoda? kupanda kwa kasi kwa gharama za bidhaa, wizi wa kitaasisi unaofanywa na wabunge kupitia posho wanazojilipa kwa sheria walizojiwekea, ongezehttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/146963-enyi-wabunge-acheni-fikra-mgando-new-post.html
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
Yule mlevi bwana, check cocktail party za safari zake, ful whisky duh! Na huko malaysia watamkoma leo!
 
Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?

Mkuu hata kama anakunywa hiyo Guiness moja kila siku si kwa afya. Hiyo moja haiwezi kuathiri utendaji wa mtu. Hivi unajua Rais Mstaafu Mzee Mkapa anatumia kinywaji gani na kwa kiasi gani, utendaji wake ulikuwaje? Unajua Waziri Mkuu Mstaaafu bwana Sumaye anakunywa nini na kwa kiasi gani? Unywaji wa mtu ni vigumu sana kuupima na utendaji wake. Inategemea anakunywa nini na wakati gani. Ka Guiness kamoja tu kwa siku kisha useme ni mnywaji huyo? Ije hoja nyingine na wala siyo ya Guiness moja!
 

Mkuu ni kweli nchi ina mambo mengi ya sana tete ya kujadili. Mtandao huu nadhani unahujumiwa sana kwa kuwa badala ya watu kujielekeza kwenye hoja zinazohusu nchi badala yake tunaanza kuona posts za ajabu ajabu ambazo zinapoteza muda wa wadau. Nadhani imefika wakati muafaka Mods wawe wanaondoa posts ambazo siyo hot kwa kipindi fulani ili wadau wawezi kujikita kwenye posts ambazo ni hot kwa muda huo. Kwa mfano hivi sasa kuna masuala ya nyamongo, uporaji wa wanyamapori hai, posho za wabunge na watumishi wa serikali, tetesi za kuhongwa kwa M/kiti wa Kamati ya madini na budget ya serikali. Lakini sasa unakuja watu wanapost vitu kama kubebwa kwa Mbowe eti ni unyanyasaji; kunywa guiness moja ni ulevi, nk. Hizi post hazina tija zingefutwa tu ama kuhamishiwa jukwaa lingine
 
wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? Watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?

so what?????? ?????
 

Umemsahau marehemu Boris Yeltsin!! Alikuwa akigonga mvinyo hadi anachanganyikiwa!! Si unajua tena Mamivinyo ya Ki Russia!
 
By looking on the number of views on this thread you will realise that a lot of us fall for "catching" Head line. MOD could help us by sending this thread in its appropriate place which I have learned to be the Celebreties forum. I just cant contribute on this in its current place although I could have something to add.
 
imetulia hii mkuu.
 
akipata na stick mbili za Bangi kila siku nadhani ataongoza fresh kabisa, nashauri aanze nakuvuta weed!
 
Kuna maisha mengine ni personal sana kwa sisi Raia kuingilia huo ni uhuru wake ..mwacheni anywe vyovyote vile anavyotaka kwa sababu ni maisha yake binafis...kilio chetu kiko katika misimamo yake na maamuzi pia nchi inangamia hii
Ni kweli anakunywa. Inazuia kuanguka anguka
 
hayo hayatuusu sisi wa lala hoi mkuu lete kitu chenye akili hapa jamvini
 
Acha anywe tu hata kumi si issue,ila achape kazi tu.issue ni utendaji wake basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…