Kikwete in white house.

Kikwete in white house.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
886
Hivi wana jf huu uswahiba wa rais wetu na rais wa marekani kuna usalama kwa nchi yetu? Juzi imetangazwa ktk vyombo vya habari kikwete na bush wako ikulu ya marekani wakionekana marafiki au maswahiba. Hivi USA kwa tabia zao wanaweza kuwa na urafiki wa dhati na nchi maskini kama Tz bila kuiathiri kweli? Au ndo historia ya kina chifu Mangungo wa msovero inajirudia ya kulaghaiwa kwa shanga? Tuangalie jamani, marais wa USA huwa hawatangitangi, hii misaada isije kutugharim baadae.
 
Back
Top Bottom