Mpaka sasa wanafunzi wote wa chuo kikuu cha mtakatifu john MAZENGO DODOMA nao wamefukuzwa na jeshi la polisi na chuo kufungwa kutokana namadai yao yaliyokuwa yanaendelea kwa siku 2 mfululzo, baada ya chuo kushindwa kuwapatia fedha zao za chakula zinazosadikiwa kutolewa na bodi ya mikopo mapema kuanzia trh10 dec kwa hili pia hakuna utatuzi kutoka serikalini zaidi ya kusikia tena kesho kuwa wamefukuzwa moja kwa moja bila kujali kuwa aliyekuwa chanzo cha mgomo ni nani si muda kikwete wanachuo watakuja kwako usilaumu:A S 465: