Muuaji wa Magufuli aone aibu. Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Welezo, Zanzibar, Bi. Asma Mwinyi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Hawaii, Jimbo la Welezo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Dkt. Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa chama bora ambacho hutekeleza ilani yake kwa vitendo. Amefafanua mafanikio mbalimbali yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuwa ni ushahidi wa utekelezaji mzuri wa sera za chama hicho.
Aidha, amewataka wananchi waliohudhuria kampeni hiyo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba mwaka huu kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wa CCM.
Kwa upande wake, mgombea ubunge Bi. Asma Mwinyi amesema atahakikisha anashirikiana na wananchi katika masuala mbalimbali ya kijamii, kama alivyokuwa akifanya awali. Ameahidi kuendeleza miradi aliyokuwa akiisimamia, pamoja na kugharamia huduma za mazishi katika Jimbo hilo.
Mimi pia nitakaa mbali na uchafuzi.29 Oct MIMI NA FAMILIA YANGU NA UKOO WANGU HUTUPIGI KURA!
KiherehereRais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Welezo, Zanzibar, Bi. Asma Mwinyi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Hawaii, Jimbo la Welezo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Dkt. Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa chama bora ambacho hutekeleza ilani yake kwa vitendo. Amefafanua mafanikio mbalimbali yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuwa ni ushahidi wa utekelezaji mzuri wa sera za chama hicho.
Aidha, amewataka wananchi waliohudhuria kampeni hiyo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba mwaka huu kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wa CCM.
Kwa upande wake, mgombea ubunge Bi. Asma Mwinyi amesema atahakikisha anashirikiana na wananchi katika masuala mbalimbali ya kijamii, kama alivyokuwa akifanya awali. Ameahidi kuendeleza miradi aliyokuwa akiisimamia, pamoja na kugharamia huduma za mazishi katika Jimbo hilo.
Kama ni huko visiwani, waendelee watakavyo wao; huku Tanganyika watajitokeza wengi kukataa utwana wanaolazimishwa kuuingizwa.Aidha, amewataka wananchi waliohudhuria kampeni hiyo kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba mwaka huu kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi wa CCM.