Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Sasa nidhahiri kabisa CCM imeishiwa cha kuwaeleza wapiga kura ili kuwashawishi badala yake Kikwete ameanza kurukia kuhubiri matumizi ya udini,ktk kampeni
Tukumbuke kabla ya hili alivituhumu vyama vya upinzani hasa chadema kuwa wanahubiri kumwaga damu, hoja yake haikupokelewa kama alivyotarajia kwa wapiga kura badala yake waliishia kumlaum kuwa chama chake ndiyo kitasababisha kumwaga damu.Utabiri wa wapiga kura umekuwa kweli kwani sasa matukio ya kumwaga damu yanaanza kuwa ya kawida huku chanzo kikiwa CCM.
Jana akiwa songea amerukia mada ya udini tena akituhumu CUF lakini tunaamini wapiga kura wataipuuza kwani anaonekana kubeba hilo kama ajenda na pia tusishangae kuja kuona CCM wanajikita kutumia udini hali ambayo imeanza kujitokeza kwaMAKAMBA kufanya hivyo Shinyanga kwa kuwatuhumu maaskofu kuwa wanajihusisha.