Elections 2010 Kikwete kaishiwa sera ahusisha biblia na quran katika kampeni


Kaka katika hili la kupanga siku ya uchaguzi kuwa jumapili wala tusiwalaumu CCM, kwani sio wao waliopanga hili ni NEC na wala haikuanza Mwaka huu tangu mimi nimeanza kupiga kura kwa mara ya kwanza miaka karibu 20 iliyopita uchaguzi ulifanyika jumapili. Na kwenye red hapo sikubaliani nawe ni usalama wa taifa upi na jeshi lipi wanaounga mkono slaa, usiniambie ni jeshi hilihili la Jenerali Shimbo!
 


Kaka fikra pevu a.k.a fikra finyu yaelekea hata somo la "kumbukumbu" tu kwako ni mzigo. wakati watu wanapigia debe mahakama ya kadhi ulisikia akikemea? ni nini kinachomsumkuma kuongelea sasa jambo hilo kama si kuvutia kura za wanaodanganyika?
 


Kaka fikra pevu a.k.a fikra finyu yaelekea hata somo la "kumbukumbu" tu kwako ni mzigo. wakati watu wanapigia debe mahakama ya kadhi ulisikia akikemea? ni nini kinachomsumkuma kuongelea sasa jambo hilo kama si kuvutia kura za wanaodanganyika? read between the lines. jifunze kufikiri sio kukumbuka tu!!
 


Well said DENYO ................PIPI JOJO....ulitizama chombo kipi cha habari tena.......ukiweza jibu hilo tutajua kuwa ni propaganda au la?
 
Apeleke majini na ulinzi wa giza (wa shehe yahya) kule bagamoyo.... tena akome kabisa kuleta udini kwenye siasa za Tanzania.
 
kikwete mdini mkubwa anapigia debe uislamu dini yake kwa kusababisha hasara kwa taifa kutukia raslimali za taifa kujadili mambo ya mahakama ya kadhi na kuyaweka kwenye ilani yake na kuipigia kampeni...........huyu ndiye kikwete mdini kwa vitendo
 

Kimsingi hiyo msg aliilenga kwa wananchi wa Tunduru Kaskazini ambapo mgombea wa CCM anapumulia mashine kutokana na nguvu kubwa waliyonayo CUF na mgombea wao, ikizingatiwa pia kuwa mgombea wa CCM ni Mkristo ilhali wananchi wengi wa huko ni Waislamu.

Hoja yake ilikuwa uchaguzi usiwe juu ya Biblia wala Quran, bali ni juu za Ilani za vyama vinavyoshindana, hilo ni jimbo pekee ambalo CCM inaweza kulipoteza katika mkoa wa Ruvuma.
 
nasikitika kwamba tumaini lake shehe yahya afya yake ni mgogoro, manake ndiye aliyesema atamlinda kwa ulinzi usioonekana, sasa siku shehe yahya akifariki sijui rais wetu ulinzi ataupata wapi...Yesu alisema jipeni moyo, mimi nimeushinda ulimwengu, mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa naye hana nguvu kwangu(Yesu), tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za shetani wala hakuna kitakachotudhuru, Neno la Mungu linasema, utamkanyaga simba na nyoka, mwanasimba na joka utawaseta kw amiguuu...pale wengine wanapotegemea magari, wengine wanapotegemea farasi, sisi tutaliitia Jina la Bwana Mungu wa majesho...yeye hashindwi..pale wengine wanapotegemea uchawi, pale wengine wanapotegemea waganga na wasoma nyota, sisi tutamtegemea Mungu wetu aliye Hai...

Utukufu na shukrani ni zake yeye milele na milele, heshima na dhama ni zake yeye Mungu wetu, yeye hatatuacha hata tukajaribiwa kupita tuwezevyo, maana ktk kila jaribu atatufanyia mlango wa kutokea...NAWATIA MOYO WOTE WANAOPITA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, MUNGU ANAKUONA NA ANAANGALIA JICHO LAKO UTAWEKA WAPI, UKIWEKA KWAKE TU ATAKUSAIDIA, UKIWEKA KWA WAGANGA NA WACHAWI, HAUTAMWONA MUNGU.

nchi yetu Mungu hayupo, pamoja na kwamba watu wake baadhi wana Mungu. nchi yetu inaongozwa na wachawi na waganga wa kienyeji, ndio maan aviongozi na kila mtu utaona anaenda kwa mganga wa kienyeji for everything kuanzia biashara hadi uongozi/cheo...however, wale ambao hawatamwinamia shetani kumsujudu, ndio watakaomwona Mungu. mwenye sikio la kusikilia na asikie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…