Kikwete katika POZI matata!!!!!! Hope kulabata za aina hii atapunguza this time......

Kikwete katika POZI matata!!!!!! Hope kulabata za aina hii atapunguza this time......

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198


Akiwa na Boyz2meeeeeen.........awamu ya kwanza ya uraisi hivi, ya pili si ndo itakuwa ishu??
 
Kumbe Kikwete anafaa kila nyanja, he is Photogenic kwa kweli.....:teeth:
 
Dah wanajamii mko informed! Siwawezi! Inaonekana Mh ndo aliye omba kupiga nao picha lol
 
Hapa kweli rahis tunaye.. nahis mafanikio kwake ni kuomba misaada!! Apo hachelewi kuwaomba hata Mic' ije isaidie kukuza muziki nchini.. teh teh
 
Pengine alikuwa kwenye fund raising ya watoto YATIMA Tanzania..................:teeth:
 
ni mhandsome sana,kila picha anapendeza.
wananwake wao ni kuangalia u'handsome' kweli masuala ya usawa yanawadumaza, badala ya kuangalia ANACHOFANYA huyo HANDSOME wako hapo akiwa rais wa nchi.kweli bado tunakazi
 
This is the President, he fits anywhere, Slaa angefit hapo? Thubutu!
 
This is the President, he fits anywhere, Slaa angefit hapo? Thubutu!
what a rubbish post of the week

German like outputs, British like person to bring back the economy, but bongo, it the face that counts

Kweli nchi nzima ni Mario
 
Huitaji miwani yenye lens kali kujua kuwa hiyo picha ni typical PHOTOSHOP
That is not photoshop... alipiga alivyokwenda america na kuwaalika waje bongo dude... whats up?
 
Huitaji miwani yenye lens kali kujua kuwa hiyo picha ni typical PHOTOSHOP
Hapana, haikuwa photoshop. Nilikuwepo mjini Washington kwenye tamasha la maandalizi ya Sullivan summit.
 
Back
Top Bottom