Kikwete - Kibaki - kipanya - siasa na ujumbe mzito

Hawa watu wa katuni hivi ni kwamba wana akili sana? ama ni kipaji tu wanacho kuwa wame jaaliwa? ujumbe wao huwa ni wa moja kwa moja, na ni mwepesi kueleweka, kinacho nishangaza nijinsi walivo wepesi kufikiria hivi vipicha vyao na kuvioanisha na jumbe hizo! Good job!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…