slaa anadai kaibiwa kura ,sawa lakini je katika nchi kama Tanzania au UGANDA Kuna loop holes nyingi za kushinda chama kilicho madarakani.
Hatujakua kidemokrasia kama vile nchi za wenzetu ....unadhani museveni anaweza shindwa uchaguzi wowote?hata kama hapendwi?? kikwete anapendwa sababu watanzania wengi sio watu wa kufanya analysis .Kikwete kama kuiba hajaiba kura nyingi labda mijini ..ila vijijini HAWA WENYE SHIDA ,hawana maji ,umeme ,hawana shule ndio wamempigia kura ....Tatizo ni Elimu !!!shule za kata zaweza kusaidia ...mwache mkwere ale nchi ,yeye,mkewe na watoto .